*REA YAWAALIKA WADAU KUTEMBELEA BANDA WIKI YA UTUMISHI KWA UMMA CHINANGALI*



*📌Msangira aeleza utekekezaji wa miradi ya Wakala nchini*

📍Chinangali Park - Dodoma

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Bw. Renatus Msangira kutoka Wakala wa  Nishati Vijijini (REA), leo Juni 16, 2026 amewaongoza watumishi wa REA katika kuwaeleza wadau kuhusiana na miradi mbalimbali inayotekelezwa, hatua iliyofikiwa na mipango iliyopo kwa wannachi wanaotembelea banda la REA katika Maadhimisho ya  Kitaifa ya Wiki ya Utumishi kwa Umma 2026 yaliyoanza leo jijini Dodoma. 

Maadhimisho ya mwaka huu yamepambwa na kaulimbiu inayosema *"Kuchochea Uwajibikaji Jumuishi kwa Huduma Endelevu"*



Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO