WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMETEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA (UAE)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 25,2025 ametembelea ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) uliopo Abudhabi.
Alipokelewa na Balozi wa Tanzania UAE Luteni Jenerali Mstaafu,Yacub Mohmed na watumishi wa ubalozi huo.
Comments
Post a Comment