WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI BALOZI MAHMOUD KOMBO AKUTA NA RAIS WA JAMHURI YA RWANDA MHE PAUL KAGAME


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame, Ikulu ya Kigali, Rwanda.

Viongozi hao wameangazia ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Rwanda pamoja na matunda 

Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Rwanda, uliofanyika kwa siku tatu jijini Kigali, kuanzia tarehe 24 hadi 26 Julai, 2025.


 

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO