BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO MHE SAID YAKUBU AKISALIMIANA NA NA RAIS WA NCHI HIYO MHE AZALI ASSOUMANI


Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Yakubu akiwa katika mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Mhe. Azali Assoumani walipokutana hivi karibuni. Rais Azali amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ujio wake nchini Comoro na maelezo mazuri kwa wananchi na Serikali ya Comoro ambapo pamoja na mambo mengine, aliahidi kufanya kazi na Serikali ya Rais Azali kuimarisha Sekta ya Afya na kueneza lugha ya Kiswahili.



 

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO