WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI BALOZI MAHMOOD KOMBO AWASILI JIJINI KIGALI,RWANDA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Kigali, Rwanda, kushiriki Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Rwanda.

Mhe. Kombo amepokelewa na Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Bi. Isabelle Umugwaneza, pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, na maafisa wengine waandamizi kutoka pande zote mbili.


 

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO