RAIS DKT SAMIA AWASILI VISIWA VYA COMORO KWA ZIARA YA KIKAZI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia yupo katika Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa Ziara ya kikazi ya siku moja ambapo pia amealikwa kama Mgeni Rasmina na Rais wa nchi hiyo Mhe. Azali Assoumani kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Malouzini Omnisport mjini Moroni.



 

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO