RAIS DKT SAMIA AKIWASALIMIA WAUMINI WA KANISA LA ARISE AND SHINE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Waumini wa kanisa la Arise and Shine alipowasili katika hafla ya Ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es salaam.
Waumini mbalimbali wakati wa Hafla ya Ufunguzi wa Kanisa Arise and Shine ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kawe Jijini Dar es salaam.
Viongozi mbalimbali wa wadini na serikali wakati wa Hafla ya Ufunguzi wa Kanisa Arise and Shine ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kawe Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya Kufungua Kanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es salaam
Comments
Post a Comment