ATHUMAN KWARIKO AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UTALII NA HUDUMA ZA SHIRIKA
Kikao cha Kamati ya Utalii na Huduma za Shirika kimeongozwa na Kaimu Mwenyekiti Bw. Athumani Kwariko ambapo masuala ya Utalii na Huduma za shirika yamejadiliwa. Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) inaendelea na kikao chake cha kawaida cha 210 jijini, Mwanza.
Comments
Post a Comment