BALOZI MOHMOUD KOMBO AWASILI GENEVA KUONGEZA NGUVU KATIKA KAMPENI YA PROF JANABI
Janabi For WHO Afro! Pray for Tanzania 🇹🇿 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Balozi Mahmoud Kombo awasili Geneva kuongeza nguvu katika kampeni ya Prof Janabi. Amekutana na Waziri wa Niger, Zimbabwe na Togo
Comments
Post a Comment