CPA (T) HADIJA RAMADHANI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UKAGUZI NA UTAWALA BODI YA WADHAMINI TANAPA
Kikao cha Kamati ya Ukaguzi na Utawala cha Bodi ya Wadhamini TANAPA leo Mei 23, 2025 kimeongozwa na Mwenyekiti wake CPA(T), Hadija Ramadhani ambapo masuala mbalimbali ya ukaguzi na utawala yamejadiliwa. Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) inaendelea na kikao chake cha kawaida cha 210 jijini, Mwanza.
Comments
Post a Comment