MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA UZINDUZI WA KIWANDA CHA KUNJENJUA SHABA*


WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 18, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa kiwanda cha uchenjuaji madini ya Shaba cha MAST kilichopo Chunya mkoani Mbeya.

Akizungumza katika tukio hilo, Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali kwa kutambua umuhimu wa uwekezaji kwa maendeleo ya taifa, imeendelea kuimarisha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini kupitia Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji



 

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO