MCHENGERWA AKAGUA MRADI WA UJENZI YA OFISI YA MKUU WA MKOA SIMIYU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa leo amewasili kwenye mradi wa ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu mradi ambao Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuutembelea leo Juni 16, 2025.
Mradi huu ni miongoni mwa miradi ya ujenzi wa Ofisi 22 za Wakuu wa Mikoa yenye thamani ya zaidi ya bilioni 90.
Comments
Post a Comment