RAIS DKT SAMIA AWASILI MWANZA
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Mwanza akiwa njiani kuelekea Bariadi Mkoani Simiyu kwa ajili ya ziara ya Kikazi mkoani humo
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Wilayani Busega Mkoani Simiyu tarehe 15 Juni, 2025.
Comments
Post a Comment