NCAA TUPO DODOMA – WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2025*


Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inashiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma, kuanzia tarehe 16 hadi 23 Juni 2025.

Tunawakaribisha wananchi wote ndani ya Mkoa wa Dodoma, taasisi za Serikali na binafsi na makundi mbalimbali kututembelea banda la NCAA lililopp kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii waweze kupata elimu kuhusu  uhifadhi,  shughuli za utalii na maendeleo ya jamii hususan ushirikishwaji wa jamii kwenye sekta ya uhifadhi na utalii.

“Wiki ya Utumishi wa Umma, Huduma imesogezwa karibu yako, Karibu tukuhudumie”_

#NCAAUpdates #WikiYaUtumishiWaUmma

 #Dodoma2025 #VisitNgorongoro



 

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO