PROFESA TUMAINI NAGU AKIWASALIMIA VIONNGOZI WA SHIRIKA LA (KEC)
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Profesa Tumaini Nagu akiwasalimia viongozi wa Shirika la Elimu Kibaha (KEC), wakati alipotembelea Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Kibaha kuona miradi mbalimbali ya maendeleo
.
Comments
Post a Comment