WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KITAIFA DODOMA


NA. OR - TAMISEMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa  George Simbachawene (Mb)  leo tarehe 17 Juni, 2025 akisaini  kitabu cha wageni katika banda la Ofisi ya Rais -TAMISEMI katika Wiki ya Utumishi wa Umma Kitaifa inayofanyika Mkoani Dodoma.

Mhe.Simbachawene ameipongeza Ofisi ya Rais -TAMISEMI kwa kushiriki  maonesho hayo  amesema, Ofisi ya Rais Utumishi itaendelea kushirikiana na Ofisi ya Rais -TAMISEMI kwa ngazi zote ili kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.

 Kauli mbiu ya maonesho hayo  "Himiza matumizi ya Mifumo ya Kidijiti ili kuongeza upatikanaji wa taarifa za kuchagiza uwajibikaji"




 

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO