RAIS DKT SAMIA ATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA GARI MKOANI SIMIYU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya  Meatu mkoani Simiyu leo tarehe 17 Juni, 2025.


 

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO