MTUMISHI KUTOKA MAMLAKA YA HIFADHI (NCAA) NI MMOJA WA WASHIRIKI WA TWENDE BUTIAMA


Ayoub Alexander mtumishi kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) ni mmoja wa washiriki wa Msafara wa Twende Butiama ulioanza leo tarehe 3 hadi 13 Julai, 2025.

Lengo la Msafara huo wa kusafiri kutumia Baiskeli  ni kumuenzi kwa Vitendo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika harakati mbalimbali ikiwemo kupigania uhuru.

Mtumishi huyo kupitia msafara wa waendesha Baiskeli unaonzia Dar es Salaam na kupita mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara hadi Butiama Mkoani Mara wenye Km 1541 anaipeperusha Bendera ya eneo la hifadhi ya Ngorongoro ambalo ni kivutio Bora cha Utalii Afrika 2025.

Ngorongoro Conservation Area: _Africa's Number One Attraction 2025._


 

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO