KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI IMEKUTANA NA VIONGOZI NA WATENDAJI WA WIZARAEYA NISHATI



Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Subira Mgalu (Mb), imekutana na viongozi na watendaji wa Wizara ya Nishati pamoja na baadhi ya taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo.

Lengo la kikao hicho  ni kupata uelewa wa kina kuhusu muundo na majukumu ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) pamoja na Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

Kikao hicho kimefanyika leo, Januari 21, 2025, katika Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.






Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO