MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI TANZANIA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Mikami Yoichi, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, leo tarehe 14 Januari 2025.

Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha zaidi ushirikiano uliopo baina ya Tanzania na Japan.




 

Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO