NIDA INAWATAKIA HERI YA MIAKA 62 YA SIKUKUU YA MAPINDUZI
Mkurugezi Mkuu na watumishi wa Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) wanaungana na Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwatakia watanzania wote Heri ya Miaka 62 ya mapinduzi ya Zanzibar

Comments
Post a Comment