WAZIRI MKUU DKT MWIGULU NCHEMBA AONGOZA KIKAO KAZI CHA WAFANYAKAZI



Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza  kikao kazi kuhusu masuala ya wafanyakazi, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Januari 17, 2026. 

Kikao hicho kilimshirikisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, William Lukuvi , Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu , Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Regina Quarry na baadhi ya Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu pamoja, Watendaji wa Wizara hizo na baadhi ya Wakuu wa Mikoa.


Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO