WAZIRI SIMBACHAWENESIMBACHAWENE ASHIRIKI KUPOKEA MWILI WA MAREHEMU BI LEAH ELISHA



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (aliyevaa miwani),akishiriki kupokea mwili wa   Marehemu Bi. Leah  Elisha Mwangalimi katika Kijiji cha Kisokwe, wilaya ya Mpwapwa, mkoani Dodoma akiwa njiani  kuelekea kwenye ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ambapo anatarajiwa kufanya ziara leo, katika Kituo cha Stesheni ya Mwendokasi Gulwe.


Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO