NAIBU WAZIRI (TAMISEMI) ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI;

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.  Zainab Katimba amekuwa miongoni mwa viongozi walioshiriki maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa kwa mwaka 2025 yamefanyika mkoani Singida na mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.


 

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO