NDEGE ILIYOBEBA MWILI WA HAYATI CLEOPA MSUYA IKIWASILI UWANJA WA (KIA)
Ndege iliyobeba mwili wa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais (Mstaafu), Hayati Cleopa David Msuya, ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) majira ya saa 2:22 leo Mei 12, 2025.
Picha Mbalimbali za vionngozi waliojitokeza kupokea mwili wa hayati Cleopa David Msuya Katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Leo
Picha Mbalimbali za vionngozi waliojitokeza kupokea mwili wa hayati Cleopa David Msuya Katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Leo
Comments
Post a Comment