WACHIMBAJI MADINI WAIPONGEZA REA KWA KUWAFIKISHIA UMEME*


 πŸ“ŒNi kupitia Mradi wa kupeleka umeme kwa wachimbaji wadogo na wa kati

πŸ“ŒUmeme umeleta ukombozi, uzalishaji madini waongezeka Geita

Mradi wa kupeleka umeme kwa wachimbaji wadogo na wa kati, Viwanda vidogo na vya kati pamoja na maeneo ya kilimo umepokelewa kwa furaha na wananchi mkoani Geita mara baada ya kupata umeme wa uhakika katika migodi yao.

Hayo yamebaibishwa na wachimbaji wadogo wa madini wakati wakizungumza na Bodi ya Nishati Vijijini (REB) mara baada ya kutembelea maeneo ya shughuli za uchimbaji madini katika eneo la Magema katika ziara iliyolenga kukagua miradi ya umeme vijijini inayotekelezwa mkoani Geita.

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO