RC IRINGA, UMITASHUMTA & UMISSETA 2025 NI FURSA KWA WANANCHI


OR - TAMISEMI

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba, amesema kufanyika kwa michezo ya UMITASHUMTA na UMISSETA ni fursa ya kiuchumi kwa Wananchi wa Mkoa huo.

Akitoa salamu za Mkoa kwa Mhe.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za msingi na Sekondari Mjini Iringa leo tarehe 9 Juni 2025, Serukamba, ameishukuru Serikali kwa kuridhia Mashindano ya mwaka huu kufanyika mkoani humo.

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO