TANGA YAPOKEA MWENGE WA UHURU
Mkuu wa mkoa wa Dar es Albert Chalamila amemkabidhi mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian Mwenge wa uhuru Juni 6/2025.ukiwa umebeba kauli mbinu isemayo Jitokeze kushiriki uchaguzi mkuu 2025 Kwa amani.
Mwenge huo utakimbizwa Mkoani Tanga katika Halmashauri 11 na wilaya nane za mkoa wa Tanga na utatembelea miradi ya maendeleo na kuweka majiwe ya msingi.
Mkuu wa mkoa wa Dkt Batilda Burian amesema Mwenge huo utatembelea miradi 75 yenye thamani ya shilingi Billion 28.6
Comments
Post a Comment