WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI KWENYE UFUNGUZI WA UMITASHUMTA NA UMISSETA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa (Mb) awasili rasmi mkoani Iringa ufunguzi wa Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA ambayo kitaifa yanafanyika Mkoani Iringa leo Juni 9, 2025
Comments
Post a Comment