*BODI YA NISHATI VIJIJINI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI MIRADI YA REA*




πŸ“Œ*Watembelea Banda la REA kwenye maonesho ya Sabasaba*

πŸ“Œ*Wananchi watakiwa kuchangamkia fursa miradi ya nishati safi Vijijini*

Leo tarehe 5 Julai, 2026 kwenye Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), Wajumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) wametembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika maonesho yanayoendelea ndani ya Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. 

Katika banda hilo, wajumbe wa REB wameelezwa kuhusu utekelezaji wa miradi ya usambazaji umeme kwenye maeneo ya vitongoji na uwezeshaji wa miradi ya nishati safi ya kupikia inayoendelea nchini. 

*Karibu Sabasaba, karibu Banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA)*



Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO