*MWENYEKITI WA TUME YA MADINI ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA NISHATI*



Dkt. Janet Lekashengo, Mwenyekiti wa Tume ya Madini ni moja ya viongozi mbalimbali wanaoendelea kutembelea Banda la Wizara ya Nishati katika maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwl.Nyerere jijini Dar es Salaam.

Katika banda la Wizara,  ameelezwa kuhusu juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali katika usambazaji umeme katika maeneo ya migodi ikiwemo mpango wa kuwezesha uunganishaji umeme katika migodi midogo midogo  iliyopo Chunya-Mbeya na Kwa Msisi-Handeni mkoani Tanga.

Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO