BW ISINGO NGOMA AKABIDHIWA FOMU YA UTEUZI WA KUGOMBEA KITI CHA UBUNGE JIMBO LA MANYONI KUPITIA ACT-WAZALENDO


Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Manyoni Ndg. Elias Mollel jana tarehe 14 Agosti 2025 Amekabidhi Fomu ya Uteuzi kwa Mgombea wa Kiti cha Ubunge katika Jimbo la Manyoni kutoka Chama cha ACT- Wazalendo  Bw. Isingo Ngoma Msaru

Tukio hili limefanyika katika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Manyoni iliyopo katika Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni.

"Kura yako Haki yako Jitokeze kupiga Kura"<

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO