MAKAMU WA RAIS DKT PHILIP MPANGO AWASILI KIGOMA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo tarehe 26 Agosti 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Wilaya ya Buhigwe utakaofanyika tarehe 27 Agosti 2025.



 

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO