WADAU WAKIPATA ELIMU ZINAZO ZALISHWA NA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
Wadau mbalimbali wakipata elimu kuhusu takwimu mbalimbali zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu kutoka kwa Ofisa wa NBS katika banda kwenye Maonesho ya Asasi za Kiraia Viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini, Dodoma. Maonesho haya ni sehemu ya Mkutano wa Asasi za Kiraia wa kutathmini mchango wa taasisi hizo kwenye maendeleo. NBS imeendelea kutumia fursa hizi kujitangaza na kusambaza machapisho na takwimu mbalimbali.
Comments
Post a Comment