DKT BITEKO AMKABIDHI CHETI MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGEZI NCAA JENERALI MABEYO (MSTAAFU)
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko (katikati) akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NCAA Jenerali Venance Mabeyo (Mstaafu) kufuatia NCAA kuwa sehemu ya wadhamini wa kikao cha Wenyeviti wa Bodi na wakuu wa Taasisi kilichofanyika Jijini Arusha tarehe 23-26 Agosti, 2025. Kushoto ni Kamishna wa Uhifadhi NCAA Bw. Abdul-Razaq Badru.
Comments
Post a Comment