Kipeo Media ni chombo cha habari cha mtandaoni chenye kuleta taarifa za kina, sahihi, na kwa wakati. #KipeoOnlineMediaKilelechaHabariSahihinaBora.
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI DKT SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM TAIFA
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2025.
Comments
Post a Comment