KAMISHNA (NCAA) ABDUL -RAZAQ BADRU AKIZUNGUMZA NA VIONNGOZI KATIKA UKUMBI WA AICC


Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Bw. Abdul-Razaq Badru (kulia) akizungumza na viongozi mbalimbali wakati wa kikao cha Wenyeviti wa Bodi na wakuu wa Taasisi kinachofanyika katika ukumbi wa AICC Jijini Arusha kuanzia tarehe 23-25 Agosti, 2025.





 

Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO