MAKAMU WA RAIS DKT PHILIP MPANGO AONGOZA MAPOKEZI YAYA RAIS DKT SAMIA KIGOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ameongoza mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Mgombea nafasi ya Rais kupitia CCM Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma jana tarehe 12 Septemba 2025.
Comments
Post a Comment