BITEKO AWASHUKURU WANABUKOMBE KWA KUMPA NAFASI YA KULITUMIKIA JIMBO LA BUKOMBE
Nawashukuru Wanabukombe wote kwa kunipa nafasi ya kulitumikia Jimbo letu katika kipindi cha mwaka 2020-2025
Tumefanya maendeleo mengi chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan
Naomba kura yako niendelee kutumikia Jimbo la Bukombe 2025 - 2030 kwa Maendeleo yetu #OktobaTunatiki
#ChaguaCCM
#MchagueSamia
#MchagueBiteko
#KusemaNaKutenda
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Comments
Post a Comment