ELIMU YA VIPIMO KWA WANAFUNZI*


Elimu ya VIPIMO ikitolewa kwa wanafunzi waliotembelea  Banda la Wakala wa Vipimo (WMA) katika siku ya nne (04) ya Maonesho ya Kilimo, maarufu kama Nanenane, Uwanja wa Nzuguni, Dodoma. WMA imepanga kuanzisha vilabu (clubs) vya elimu ya vipimo mashuleni ikiwa ni mkakati wa kupanua wigo wa utoaji elimu ya vipimo kwa jamii.



 

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO