TANZANIA NA QATAR KUENDELEZA USHIRIKIANO KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU*


Balozi wa Qatar Nchini Tanzania Mheshimiwa Fahad Rashid Al-Marekhi, jana tarehe 7 Agosti 2025, amekutana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda katika Pfisi za Wizara Jijini Dar ES Salaam

Lengo kuu la ziara hiyo lilikuwa kujadili maeneo ya ushirikiano kati ya Tanzania na Qatar katika Sekta ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

Majadiliano hayo yamelenga maeneo ya kipaumbele katika utekelezaji wa Sera ya Elimu ikiwa ni pamoja na kuimarisha mafunzo katika sayansi Teknolojia, lugha za kigeni na mafunzo ya ufundi.




 

Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO