WAGENI MBALIMBALI WAENDELEE KUTEMBELEA BANDA LA NCAA
Wageni mbalimbali kutoka mikoa ya Kanda ya Kaskazini wameendelea kutembelea banda la NCAA katika Viwanja vya Themi Jijini Arusha kupata elimu ya vivutio vya utalii, taratibu za kuingia hifadhini pamoja na huduma mbalimbali zinazopatikana katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro.
Comments
Post a Comment