MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AKUTANA NA BALOZI WA QATAR NCHIN TANZANIA MHE FAHAD RASHID AL-MAREKHI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazugumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Mhe. Fahad Rashid Al-Marekhi, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 20 Februari 2026.

Mazungumzo hayo, yameangazia ushirikiano uliopo baina ya Qatar na Tanzania na kulenga kuimarisha zaidi uhusiano wa kidiplomasia pamoja na kukuza uwekezaji na biashara baina ya Mataifa hayo mawili.



 

Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO