KAMISHNA BADRU AKAGUA GWARIDE LA HESHIMA KATIKA OFISI ZA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO



Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro Bw. Abdul-Razaq Badru amepokelewa Rasmi kwa  kukagua gwaride la heshma katika ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro eneo la Njia Panda Karatu baada ya Kivishwa Cheo na kuapishwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb)  kuwa kamishna wa Uhifadhi hivi Karibuni.


Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO