DKT. MWIGULU AKAGUA MIUNDOMBINU NA MALI ZILIZOHARIBIWA NA VURUGU ZA OKTOBA 29, 2025*



Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 24, 2025 amekagua miundombinu ya usafiri wa mwendo kasi pamoja na mali nyingine ikiwemo nyingine zilivyoharibiwa kutokana na  vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 jijini Dar es Salaam.

Maeneo yaliyokaguliwa ni pamoja na Kituo cha Mafuta cha Puma ilichopo kimara baruti, vituo vya mwendo kasi vya Kimara Korogwe na Kimara Mwisho pamoja na kituo cha Mafuta cha Rupees kilochopo Kimara Stop Over.

*Habari Kamili inakuja*




Comments

Popular posts from this blog

HATMA YA TAIFA IPO KATIKA USAWA WA KIJINSIA, SIO VIWANDA PEKEE.

MSAKO MKALI KUREJESHA HALI ya USALAMA TANGA, WATUHUMIWA 42 WAKAMATWA

PJT-MMMAM YAWEZESHA UANZISHWAJI WA VITUO 206 VYA MALEZI YA WATOTO WADOGO