MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR HEMED SULEIMAN AKIKAGUA MCHORO WA RAMANI BANDARI YA MARUHUBI



Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Ndugu Akif Ali Khamis pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ZFDEVCO wakiangalia mchoro wa Ramani ya Bandari ya Maruhubi (Mpigaduri) inayoendelea kujengwa katika eneo la Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR )

Tarehe 26.11.20

Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO