MBUNGE WA JIMBO LA BUKOMBE DKT DOTO BITEKO AKILA KIAPO CHA KUWA MBUNGE



Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko leo Novemba 11, 2025 akila kiapo cha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu.


Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO