WAZIRI WA VIJANA JOEL NANAUKA AKIZUNGUMZA NA VIJANA UYOLE MBEYA



Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana Joel Nanauka akizungumza na kijana Mlemavu Ramadhan Karim ambaye alishiriki mkutano eneo la Uyole Wilaya ya Mbeya tarehe 26 Novemba 2025 ambapo Waziri hiyo alikwenda kuwasikiliza na kujadiliana na  Vijana ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kufuatia kuundwa kwa Wizara maalum ya Vijana.

Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO