MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AUNGANA NA VIONGOZI PAMOJA NA WANANCHI KATIKA ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA KUMBUKIZI YA MIAKA MITANO YA KIFO CHA HAYATI DKT JOHN POMBE MAGUFULI



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiungana na Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, inayofanyika Chato mkoani Geita, leo tarehe 17 Machi 2026.

Misa hiyo inaongozwa na Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge – Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi



Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO