WATUMISHI WA TATU WA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGOROY (NCAA) WAMESHIRIKI KUTOA ELIMU KUPITIA REDIO YA KIJAMII YA LUMEN FM



Watumishi watatu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) wakiongozwa na Afisa Uhifadhi Mkuu (Maendeleo ya Jamii) Paul Mwabusila wameshiriki kutoa elimu kupitia redio ya Kijamii ya Lumen FM Karatu kuhusiana na njia mbalimbali za kukabiliana na Changamoto ya migongano kati ya Wanyamapori na wananchi (Human Wildlife Conflicts).


Comments

Popular posts from this blog

HIFADHI YA NGORONGORO YASHIRIKISHA WATALII UZINDUZI WA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

NMB Same Yachochea Ari ya Mafanikio kwa Wanafunzi, Yasema “Bidii, Nidhamu na Malengo” Ndio Siri ya Ushindi

ANNE KILANGO AZINDUA KAMPENI SAME MASHARIKI KWA KISHINDO